Kuza biashara yako ukitumia Uber Eats
Ungana na wateja wapya, wabadilishe wateja waliopo wawe wateja wanaokuja kwako mara nyingi na udhibiti shughuli zako za kusafirisha bidhaa kwa kutumia uwezo wa tovuti ya Uber Eats.
Wavutie wateja wapya
- Wafikie watu katika eneo lako moja kwa moja kwenye mtandao wa Uber
- Ongeza mauzo kwa kutumia nyenzo za uuzaji zinazosaidia kupanua ufikiaji wa eneo lako
- Pata njia rahisi za kuonekana
Wafanye wateja warudi mara kwa mara
- Wawezeshe wateja waendelee kufanya ununuzi tena na tena kupitia njia zaidi za kuwatuza
- Onyesha watu kwamba unasikiliza kwa kujibu tathmini
- Pata maelezo kuhusu kile ambacho wateja wako wanapenda
Endesha biashara yako kwa masharti yako
- Kubali maagizo zaidi bila kukatiza mtiririko wa kazi kwenye duka lako
- Simamia hesabu yako papo hapo
- Rahisisha shughuli zako za kusafirisha bidhaa
“Tumeweza kuwahudumia wateja zaidi ya 1,500 kwenye tovuti ya Uber katika kipindi kisichozidi miezi 12.”
Ramsey Zeneldin, Mmiliki, IGA Portside Wharf
Asilimia 94 ya wauzaji wanaamini kwamba Uber Eats husaidia kufichua biashara zao kwa wateja wapya*
Unganisha biashara yako na wateja wanaotumia programu ya Uber kwa ajili ya safari, usafirishaji wa bidhaa na kadhalika.
Endelea kukua ukitumia Uber Eats
*Internal data from Uber Eats and Small Businesses: Partnering for Impact report 2021.