Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Fungua njia mpya ya kujipatia mapato

Tovuti ya kimataifa ya Uber inakupa uwezo wa kubadilika, kuonekana na vidokezi vya wateja unavyohitaji ili kuwafikia wateja wengi zaidi. Shirikiana nasi leo.

Anza

Tayari una akaunti?

Select...
open
Hivi ndivyo duka lako litakavyoonekana kwenye programu.
Select...
open
🇺🇸
open
+1

Kwa nini tunapendekeza Uber Eats?

Safirisha chakula jinsi unavyopenda

Huduma zetu zinaweza kubadilika ili uweze kuzifanya ziwe mahususi kulingana na mahitaji yako. Anza na wasafirishaji wa bidhaa yako au uungane na wasafirishaji wa bidhaa kupitia tovuti ya Uber.

Ongeza mwonekano wako

Tambulika kwa kutumia mauzo ya ndani ya programu ili uwafikie wateja wengi zaidi na uongeze mauzo.

Ungana na wateja

Wafanye wateja wawe wateja wa kawaida kwa kutumia takwimu za vidokezi vinavyoweza kutekelezwa, jibu tathmini au utoe mpango wa uaminifu.

1/3

Jinsi Uber Eats inavyofanya kazi kwa washirika wanaomiliki migahawa

Wateja wanaagiza

Mteja anapata mgahawa wako na kuagiza kupitia programu ya Uber Eats.

Unaandaa

Mgahawa wako unakubali na kuandaa chakula kilichoagizwa.

Washirika wanaosafirisha chakula wanawasili

Wasafirishaji wa bidhaa wanaotumia tovuti ya Uber huchukua agizo kwenye mgahawa wako, kisha wanampelekea mteja.

"Uber Eats inaeneza uhamasishaji wa chapa yetu kwenye maeneo ambayo hayangefahamu huduma zetu."

Diana Yin

Mmiliki, Poppy + Rose, Los Angeles

Anza kwa kufuata hatua 3 tu

  1. Tupe maelezo zaidi kuhusu mgahawa wako.
  2. Pakia menyu yako.
  3. Fungua Dashibodi ya Mgahawa kisha uingie mtandaoni!

Una maswali? Tutakujibu.

  • Depending on how many locations you have, it’s possible to become an Uber Eats restaurant partner and start accepting orders in just a few days! You can begin the process by signing up here. We’re excited to hear from you.

  • Bei kwenye Uber Eats ina sehemu mbili. Ada ya mara moja ya uamilishaji inaunganisha migahawa na zana ya makaribisho, kompyuta kibao, programu ya mgahawa na upigaji picha za kitaalamu. Ada ya huduma inahesabiwa kama asilimia ya kila agizo la mgahawa linalofanywa kupitia Uber Eats. Ungependa kupata maelezo zaidi? Tuma barua pepe kwa restaurants@uber.com na tutawasiliana nawe.

  • Tovuti ya Uber inaweza kukukutanisha na madereva wanaojitegemea, waendesha baiskeli na skuta na wanaotembea kwa miguu ambao wanapeleka bidhaa kwa wateja wako. Kutokana na mtandao wa wasafirishaji wa bidhaa wanaotumia tovuti ya Uber, si lazima migahawa iwe na wafanyakazi wanaosafirisha bidhaa. Lakini ukiwa na wafanyakazi wako wanaosafirisha bidhaa, tuna wepesi wa kubadilika—unaweza pia kuwatumia. Wasiliana na restaurants@uber.com au moja kwa moja kwenye nambari yako ya Uber Eats ili uone iwapo chaguo hili linapatikana sasa katika jiji lako.

  • Hii inatofautiana kutoka mji mmoja hadi mwingine. Tunaweza kutathmini umbali wa usafirishaji na eneo lako ili kukusaidia kutambua eneo linalofaa kuhudumiwa na mgahawa wako.

  • Kompyuta kibao yenye Maagizo ya Uber Eats huwasaidia washirika wanaomiliki migahawa kufuatilia maagizo mapya na kusimamia usafirishaji wa chakula kila siku. Programu ya Msimamizi wa Uber Eats inakuwezesha kufikia menyu, taarifa za malipo, data za mauzo na vidokezi vya wateja. Tuna timu ya teknolojia inayohakikisha kwamba nyenzo hizi zinafanya kazi ifaavyo kila siku.

    Chagua lugha ambayo unapendelea
    EnglishKiswahili